Kitaumana 2025

Kitaumana 2025

The lastborn9319

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2021
Posts
911
Reaction score
1,827
Kama lissu atagombea urais 2025 mchuano utakuwa mkali sana,ila mimi mama kura yangu ameshaipata...kuna raha sana kuongozwa na mama,kwanza ni mpole,ana busara,hana lugha mbovumbovu za vitisho..hana kauli za kishujaa kama wamba wengine

Mama mitano tena...
 
ungemalizia kuwa wewe ni msukuma kutoka kahama mkuu
 
Kama lissu atagombea urais 2025 mchuano utakuwa mkali sana,ila mimi mama kura yangu ameshaipata...kuna raha sana kuongozwa na mama,kwanza ni mpole,ana busara,hana lugha mbovumbovu za vitisho..hana kauli za kishujaa kama wamba wengine

Mama mitano tena...
downloadfile-2.jpg
 
Kifo ni kifo tu ni kauli ya kipole..
 
Back
Top Bottom