Kitasa cha mlango cha aina yake

Mh nilikuwa sijaangalia na huo mshikio wake huko mwishoni!
 
we jamaa jau kweli nmekukaribisha home kumbe ulikua na lako jambo kukipiga selfie kitasa changu tehtehteh
 
hiki kitakuwa made in italy............ sasa huku kwetu hivyo vinafaa kufungwa nyumba za wageni tu
 
Wale wa kusagana wanaweza Maliza ashki hapohapo aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…