Kitanda

Kitanda

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Napita tu, ila nimeona niwaachie kaushauri kadogo.
Najua kwamba watu wengi uchukulia kama sifa kuwa na likitanda likubwa sana bed room, 6*6 au 6*5, Lakini kiukweli haya mavitanda makubwa ni moja ya kichocheo cha kupanua kutoelewana ndani ya ndoa hasa kunapokuwa na mkwaruzano kidogo.

Hii inasababishwa na kuwapo kwa opportunity ya kulala bila kugusana usiku kucha sababu kila mtu anaweza akachagua kulala mwisho kabisa kiasi kwamba hata ujiviringishe vipi ukiwa usingizini huwezi kumgusa mwenzio, hivyo nashauri wanandoa wenzangu tu opt vitanda vidogo vidogo ambavyo ukipanda tu kitandani adui huyu hapa tayari, labda akimbilie kulala chini.

Alamsiki.
 
hamna lolote....kuna sababu zingine za msingi na sio kitanda, tena sita kwa sita raha sana maana analala amepanua miguu yake hivyo easy access wewe.
 
hamna lolote....kuna sababu zingine za msingi na sio kitanda, tena sita kwa sita raha sana maana analala amepanua miguu yake hivyo easy access wewe.

Hata wakati wa mikwaruzano anapanua tu? au anaumwa?
 
mkuu mleta mada swali lako unataka 22mie vitanda vidogo namkeo akiwa na mimba aua anaumwa mkigusana itakuaje si ndio mwanzo wa kumbemenda mwanao
nawasilisha
 
mkuu mleta mada swali lako unataka 22mie vitanda vidogo namkeo akiwa na mimba aua anaumwa mkigusana itakuaje si ndio mwanzo wa kumbemenda mwanao
nawasilisha

mtoto wako mwenyewe unambemenda kivipi? watoto wanabemendwa mkitoka nje ya ndoa. kuhusu kitanda ni ushauri tu.
 
Kwa kiasi fulani nakubaliana na mleta hoja.Kwa sababu
::
Mgusano wa miili ya wanandoa ktk kitanda huifanya miili iwasiliane na kulegeza misimamo yao ya akili.
::
Tendo la ndoa limekuwa kiungo muhimu cha kuwapatanisha waliogombana,hivyo kulala mbalimbali kunachelewesha mapatano.
::
Mawasiliano baina ya wanandoa na kupeana habari ktk ndoa,inaposhindikana sebuleni,kitandani ndio sehemu inayobaki kuwaunganisha.Kinyume chake ni kukuza tatizo.
::
 
Mambo yote 8 by 8!!!!!!!! Hadi style za WHOOO HAAAAAAAA zinakubali. Raha jipe mwenyewe!!!!!!!!!
 
mkuu naunga mkono hoja!najuta kwa nini nilitengeneza 6x7 kila siku napewa mgongo tuu
 
upande wa pili wa shilingi ni kwamba, ukiwa na kitanda kidogo mkakorofisha na mweza wako ili kuavoid kugusana anaweza kwenda kulala chumba cha house girl/boy, sebuleni (sofa), jikoni, etc
 
Back
Top Bottom