Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Kitanda chenye size 5*6
Mbao za mtondoo
Muundo wa box/hakina nafasi ya kuingia uvunguni.
Godoro 5*6
QFL-Dodoma
Unene ni inches 8.
Vipo Pugu kajiungeni Dar es Salaam.
Bei 320,000TZS.( kuna mazungumzo).
Vitu vimetumika tangu October 2014.
Sababu ya kuuza: Mwenye navyo amehama mkoa hivyo hataweza kuvisafirisha kwenda mkoa maana ni mbali sana.
Mawasiliano: PM au
Simu: 0758 777 552
0682 814 032
mathayowambura@gmail.com
Karibuni serious people only
chukua 270
Weka basi hata picha tuone ubora wake
Ukarimu nimuhimu kwenye uhitaji,,,ameulizapicha umejibu hunakipigio...unaposema akanunuekwingine nahisinamimi ntapewajibujibuhilihiliPicha simu yangu haina uwezo, but trust me vitu vyote bado vizima kabisa, kama una imani karibu uvione kama huamini sio mbaya mkuu unaweza kwenda kununua vipya.
Niijuavyo jf wahiihiyo 270 wakiwawengi wanarudi 150,000 fanyamaaumzimagumu afike