Mkuu nisaidie kupata majibu ya maswali haya then tunaweza kuongea business: kitanda kimetengenezwa kwa mbao za mti gani? Umekitumia kwa muda gani? Vp kuhusu papuchi, umeshafanya dissemination ya pauchi ngapi juu ya hicho kitanda? Hahahahahahaaaaaa just for fun don' mention.