Kitanda na godoro lake vinauzwa

specialist88

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
1,140
618
Ni 5 kwa 6.
Godoro lake ni TANFORM (alitumia mzazi mpaka mjukuu)

Bei yake ni Tsh 240,000/= (godoro na kitanda chake).
IMG-20161221-WA0013.jpg
IMG-20161221-WA0004.jpg
IMG-20161221-WA0007.jpg

Kwa mawasiliano zaidi nicheki kupitia no.0625567408.
Kitanda kipo kimara korogwe.
 
Dah naogopa naona shuka limejaa picha za Faru, tafadhali weka kabisa jina halisi LA huyo Faru
 
Ndo hivo madam tena me ni miongoni kwa watu nalilia kununua na nilikua nataka sofa bed na akija na conclusion kashauza leo naona anaweka tena biashara ya kitu ambacho alitangaza mwenyewe Kimepata mteja
duh hatari sana .. wanamwisho mbaya
 
hicho kitanda ni cha gest fulani hivii iko kimara mwisho huwa naitumia sanaa hiyo gest kwa sababu hainaga joto nikiwa nachepuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom