INAUZWA Kitanda na godoro lake vinauzwa

Updates
Wadau kitanda bado kipo na bei imeshuka mana hali ya uchumi imekuwa ngumu sana
Bei mpya ni 200000/=
Ina maana ushauza godoro au ulimaanisha kwamba vyote vipi bado? Nimekuunganisha na mshkaji anaitwa Mshana atakucheki, Niko nae hapa anakunywa, nimemshauri kuliko any we zote ziishe ni bora aje kununua
 
Mkuu huko Nina pa kuanzia nataka. Iyo pesa niongezee nkajipange siunajua msimu wa kilimo huu
Sawa mkuu.
Lakini kilimo kamali japo binafsi ndicho najihusisha nacho!

Huku chaka raha sana fursa zipo kibao kilimo ni kama ziada tu.
Nje ya kilimo pia najihusisha na uchanaji mbao biashara tamu sana unajiamlia mwenyewe tu mwezi huu niingize sh ngapi. Unajiamlia mwenyewe ule nini. Unajiamlia mwenyewe leo napiga kazi masaa mangapi? Unajiamlia mwenyewe tu hii pesa ya ziada niitupie kwa mradi upi? Unajiamlia mwenyewe uishi maisha ya style gani? Unajiamlia mwenyewe tu leo nishinde home na mamsapu au niingie mtoni kuvua samaki au nitafune kanyama ka mbuzi au jogoo lililoshiba toka bandani kwangu!?
Ndiyo maana niliamua kumtupa mkoloni sikuweza kuishi maisha ya kubanwa banwa.
Eti Magu anisomeshe namba, nikija kwa ofsi boss anikoromee kamshahara kenyewe kadoogo halafu kanalambwa na msululu wa mikopo na madeni chungu nzima...

Umechukua uamzi sahihi nenda kakomae...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom