Hassan Enzi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 207
- 53
Kula 120k
==Kitanda cha mbao (5 x 6)
==kinauzwa bila Godoro
==Kipo mbezi, luguruni
==Bei 200,000/=
Sababu ya kuuza ni kwamba anahamia mkoani kikazi.
~Karibu PM kwa mawasiliano zaidi~View attachment 1132612View attachment 1132614
mh mh cha bahariaHapana ndugu, kilikuwa kinatumiwa na mtu asiye na familia
Avatar yako inaonyesha auzidi kg 60 😀 😀 😀Kitahimili mikiki hichoo, Kwa siye vibonge nna kg 140. Ila kizurii
Ohoo, hiyo avatar si mimi,miye kibongee [emoji3] , namzidi kidogo Asha boko kama unamfahamu, mtaani wananiita mwili nyumba[emoji3] [emoji3]Avatar yako inaonyesha auzidi kg 60 😀 😀 😀