Kitanda kinauzwa (kimetumika miezi 2)

nguzo1

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
349
540
==Kitanda cha mbao (5 x 6)

==kinauzwa bila Godoro

==Kipo mbezi, luguruni

==Bei 200,000/=

Sababu ya kuuza ni kwamba anahamia mkoani kikazi.

~Karibu PM kwa mawasiliano zaidi~
IMG_20190620_173729_873.jpeg
IMG_20190620_173625_966.jpeg
 
Kwa 170 unapata godoro jipya na kitanda
Tumekusikia mkuu ila jua Vitanda vinatofautiana mkuu hiyo uliyotaja sio flat rate kwamba vitanda vyote vinauzwa 170k kuna swala la QUALITY ...mbao gani zimetumika, ni cha size gani, godoro brand gani na lina unene wa inchi ngapi. Kuna vitanda hadi vya Milioni na vingine hadi elfu hamsini uchaguzi ni wako.
Karibu
 
Well said.

Nimekupata bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom