Kitanda kinahitajika

Blues1

JF-Expert Member
Feb 14, 2015
663
1,412
Nahitaji kitanda haraka 5×6 bajeti yangu ni lakimoja.
kama unacho ni pm
 
elimu ya kujieleza inahitajika sana kuliko tangazo lenyewe! mimi ninacho niko kata ya Rungwe mpya halmshauri ya wilaya ya kasulu mkoani kigoma. karibu. ukielewa ugumu wa kuifikia bidhaa niliyonayo, jaribu kuhariri andiko lako
 
Nipo ubungo
 
Kwani kitanda kipya bei gani? Nunua kipya maana kununua kitanda kilichotumiwa inahtaji ujasiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom