Kitanda kimoja na rafiki na mpenzi wake, imekaaje?

Kitanda kimoja na rafiki na mpenzi wake, imekaaje?

Vipi wenyeji hawajaanza kushikana shikana? Au umehama leo.?
 
naona kama vile ni stori ya kufurahisha tu!!!
ukweli wowote hapa hakuna.
 
Umenikumbusha mbali sana, kuna jamaa walikua mahausiboy maeneo ya goba mbezi walkua wanalala chumba kimoja cha uwani sasa huyo aliekua anashughulikia wanyama alkua anapenda sana wanawake huyo mwenzie alkua mpole sana ila wanalingana umri, sasa jamaa akileta demu anatoa godoro la akiba analaza chini anachapia hapo huku mwenzake yupo kitandani anaskilizia tu.
 
Mwambie akupe tu naul urudi kwenu mana kwnza kama huyo shemeji mshenz wasiwasi wng ni kwmb kuna siku atakuomba show alf ndo vita itaanza na huyo shogako
 
dah hapo kuna mtego ukizidiwa mambo flani unamtegekia shemu ndo lawana kwanza utawanyima uhuru kama vp kachukue hata guest ulale hata kama mm ningeweza
 
Pole shosti, ungelala chini sioni kama ni tatizo vaa suruali yako funga kanga lala... yakikushinda rudi.........
 
Du Da Pretty ungerudi na kutufahamisha zaidi huko kusini ni kwa Wangoni au Wamakonde
Maana toka jana kulikuwa hakuna hata mechi kweli?
Au jamaa hakuja
au ulipewa mzigo mwingine wa kukupigisha RI gwaride saa hizi umechoka
Na kwa jinsi ninavyokufahamu hilo Umbo lako! hasa Mgongo na liwowo lazima Shoga yako alikuuza kwa bei hasa maana ni kijijini Guest hakuna na nyumba ya block ni ya Mwalimu Mkuu wa Primary
Zooooooooooooooote Jokes hebu njoo tufunguie mjadala, na sisi tujue hizo stareehe hata km ni za Chabo tu au Kinanda alichotoa shogayako km hamku 3some
 
Ndugu yangu mi nilikesha kwa kweli kabisaaa
Asubuhi mwanaume ndio alikua wa kwanza kuamka na kuja kunishangaa
na walijua kua nilikwazika
Nikalala asubuhi hadi kwenye sanne hivi
Jioni nilitaftiwa sehemu ya kulala
Nilikua kimya sikua na access ya mtandao ugenini pia safari kurudi Bush kwetu
 
hongera kwa kutoka bila kugegedwa....
 
Usikubali dada yangu,lala sebuleni or nenda gest,kukicha urudi zako kwako,ila umweleze huyo mwenyeji wako kwa lugha ya kistarabu tu kwamba hilo,kwako haliwezekani..pole sana
 
To me big no .. Either nilale chini, sebuleni ... But kama hamna option ingine It is better to leave the same same day.. Kah!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pole sn dadangu kwa mkasa huo, ila usiumize sn kichwa kufikiria kwa nn shogaako aliamua kufanya hivo.
sasa mimi nakupa jibu km hawana watoto bac inawezekana huyo jamaa yake jogoo hapandi mtungi ndo maana huyo shoga yako hana shaka, kwel nakwambia...
 
Chuo gani hicho mkuu ambacho hili lilikuwa la kawaida?

achana naye huyo javascript ni muongo ni vigumu vitendo hivyo kufanya hadharani hata km Bweni limezimwa taa zote.
Leo tumesikia Seminary huko Mwanza wanaume wamegegedana (Mobitel kwa tiGo) na wamefukuzwa sasa ni Mzazi gani atapeleka Mtoto wake hiyo shule angetutajia tukawatoe watoto wetu sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu mi nilikesha kwa kweli kabisaaa
Asubuhi mwanaume ndio alikua wa kwanza kuamka na kuja kunishangaa
na walijua kua nilikwazika
Nikalala asubuhi hadi kwenye sanne hivi
Jioni nilitaftiwa sehemu ya kulala
Nilikua kimya sikua na access ya mtandao ugenini pia safari kurudi Bush kwetu

Pole inaelekea hukulala na walikufanyia makusudi, kwanini hukulala hadi asubuhi? vipi ulikereka Mziki wake ulikuwa mtamu au walipaza sauti za kero
Halafu mbona tena unarudi Bush kwenu, kaa mjini mm nitakupangisha nina vyumba viwili wazi nimemtoa mpangaji alikuwa akipata wanaume naye anapiga kelele za maumivu kila siku kumbe wizi
 
Back
Top Bottom