Kitanda kimoja na rafiki na mpenzi wake, imekaaje?

Kitanda kimoja na rafiki na mpenzi wake, imekaaje?

Muwe mnapunguza na uwongo japo kiduchu, ili hizo story za paukwa pakawa ziwe na mvuto kama si uzuri.

we umepokelewa jana jioni, post umeituma leo saa kumi na moja za alfajiri si ungesema tu umelala lakikini hukusinzia kwani kunaubaya gani mpaka tudaganywe hvyo.
 
hapo hamna pole na pretty. ila wewe lala tu na jeans yako. nahisi kusini hamna joto kwa sasa! ama utakwazika wakianza kulana ile ya usiku?
 
hahahah rafiki yako atakuwa alikuwa na fantasy ya threesome with u being the other gal....duh mpaka kakulipia ticket. wewe hutoki hapo bila kugegedwa na kulambwa papuchi...utatuambia
 
mmh! dunia ina mambo kweli.
skiliza sion shida kabisa mtu kukualika kwake akiwa na chumba kimoja na rafiki yake. kwanza swala la kulala si lazima lihitaji kufanya ngono ama nn lkn pia usiku unaweza ama wanaweza kutandika kirago chini wewe ukaachwa ulale kitandani. hvi kweli kwasababu anaish na rafki yake basi akose fursa ya kumkaribisha shoga yake just for few days??

mi sikubalia na wewe kama ingekuwa dharura sawa lakini kama ni mipango kwanini kutesana, wengine joto wanataka kulala kama tulivyozaliwa itakuwaje sasa kama siyo uchuroo?
au kwanini asimpangishie lodge tu kama ameweza kumlipia tiketi ya 20,000 hawezi shindwa mlipia chumba cha 10,000 for two days.
 
Mimi nilishalala na rafiki yangu na mumewe chumba kimoja for 3 days. Nilienda nchini kwao kwa mara ya kwanza, wakaja kunipa company nilipofikia (kwenye rest house); so mimi na shosti wangu tulilala kitandani, mumewe akalala kwenye zuria (chini). It was okay ingawa nilinuonea huruma yule mkaka!

So huenda mwanaume angelala chini au sebuleni kwenye sofa!
 
pole sana, hapo kesha tu.. utalala asubuhi wakati wao wameamkaa
ashakwambia muda huo analaptop ina maana hajalala kumbuka katuma hiyo post saa 10:00 alfajiri
 
dah dunia pana hii.....
ok officialy i'm gona laugh...tehetehe......................... jamaa anataka a-ride tricycle
 
mmh! dunia ina mambo kweli.
skiliza sion shida kabisa mtu kukualika kwake akiwa na chumba kimoja na rafiki yake. kwanza swala la kulala si lazima lihitaji kufanya ngono ama nn lkn pia usiku unaweza ama wanaweza kutandika kirago chini wewe ukaachwa ulale kitandani. hvi kweli kwasababu anaish na rafki yake basi akose fursa ya kumkaribisha shoga yake just for few days??

Nakubaliana na wewe kwenye red.

Umasikini usiwe chanzo cha kutotembeleana na kujuliana hali. Ni marafiki wachache katika dunia hii anaweza kukukaribisha kulala kwake. La muhimu hapa ni upendo na kama amekukaribisha kwa nia njema.

Sasa, kama wewe Da Pretty, Mungu amekujalia hali yako iko juu kidogo, muombe huyo rafiki samahani ili akuruhusu ukajipumzishe kwenye hata Guest House/Hotel na muahidi kwamba utarudi asubuhi. Naamini atakuelewa!
 
Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya ujao 2013 Muda huu nipo na laptop kuna jambo limenipa utata Rafiki yangu wa miaka mingi anaishi mkoa fulani kusini amenialika kwake na nimeingia leo. Nimefika na kupokelewa vizuri ila tangu chumba nilichokaribishwa mashaka yalinijaa kimejaa bidhaa za kiume(nguo, viatu, mafuta...) nikauliza vipi nikaambiwa nitulie. Badae nikagundua best anaishi na mpenzi wake, cha ajabu muda wa kulala ananiambia tutalala watatu chumba kimoja na kitanda kimoja yani mimi yeye na mpenzi wake. Hili limenikwaza sana naona ni kitu cha tofauti na mbaya zaidi yeye ndio kanikaribisha na tiketi ya kuja huku kanitumia yeye. Hii imekaaje? mi nimeshindwa kwenda kulala kwa mtindo huo.
Yawezekana kukufanyia hivyo inatokana na mazoea mliokuwa nayo tangu huko nyuma. Sasa ili kumuonesha kuwa uma adabu na umebadili tabia, kataa kulala hapo na umwambie kesho narudi nilikotoka. Ataona aibu na pia atakuwa amejifunza ustaarabu
 
wapenda sewage utawajua tu, kushauri muache sodomy nmekuwa napondea raha za watu wengine, mule nako raha kwako eti, me hapa i meant threesome straight sex sio nyuma jombaa, hakuna unafiki wowote tofautisha mada usije na hasira, inaonyesha nmekukera sana kule, ndo hivo ndo ukweli kama unakula/ unaliwa au unampango huo, yo lost. ACHA.
 
Mpaka sasa no feedback ukiona manyoya....................!!!!!!!!!!
 
Hakuna jpya! Fl free' tengeneza positive mind, usijistukie
 
Pole sana Da Pretty, huyo sio rafiki bali mkia wa Fisi, mbona anakudhalilisha namna hiyoo
 
Jamani hela ya Guest house hunaaa? Mbona very cheap! Mi sioni tatizo la kupasua kichwa hapo?
 
hahahah rafiki yako atakuwa alikuwa na fantasy ya threesome with u being the other gal....duh mpaka kakulipia ticket. wewe hutoki hapo bila kugegedwa na kulambwa papuchi...utatuambia
Hahahaha,akigegedwa au akilambwa papuchi...hatatuambia!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom