Kitanda kimoja mtu 5 mlibisha nini.Jpm ameweka wazi

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Kuna uzi uliletwa huku wiki hii kwamba jpm kakuta kinamama watano kitanda kimoja hospitali ya muhimbili watu mkabisha sana kuwa kwa akili ya kawaida haiwezekani mbona leo mwenyewe amerudia hilo ktk hotuba yake na wale wazee wa Lumumba? Nani muongo sasa?
 
Mwenyewe Rais kathibitisha.ni hatari .Ila mi nimeshangaa sana wasaidizi wake kumkatalia asiende kuwaona wale kinamama wajawazito.. nchi ya ajabu hii.
 
Hii nchi inapaswa kutawaliwa tena sawa na mgombea chizi wa usa asemavyo.
Ina watu wa ajabu sana, hao wasaidizi ni akina nani kama sio usalama usio salama?
 
Kwani Mara zote picha zilizokuwa kuwa zinapigwa na waandishi habari viongozi waliziona ni za kuungaa? Jamani vitu hivi vipo miaka yote na vilikuwa havitiwi maanani. Dr Ulimboka aling'olewa kucha kwa kwa ripoti yao madaktari ambayo nalo la wagonjwa kulala kitanda kimoja watano ilikuwapo pamoja na vifaa tiba. Hakuna asiye yajua hayo.
 
Kuna uzi uliletwa huku wiki hii kwamba jpm kakuta kinamama watano kitanda kimoja hospitali ya muhimbili watu mkabisha sana kuwa kwa akili ya kawaida haiwezekani mbona leo mwenyewe amerudia hilo ktk hotuba yake na wale wazee wa Lumumba? Nani muongo sasa?
Muhongo!
 
Na wewe mleta Uzi jiongeze japo kidogo. Hicho kitanda cha kuwalaza wajwajawazito watano ni cha size gani? Kama ni hivi vilivyopo wodini havina uwezo huo. Na kumbuka wajawazito watano ni sawa na watu kumi plus. Hebu acheni kujadili vitu visivyowezekana na havina uhalisia. Kama walilazwa chini msiseme vitandani. Huu ni upotovu mkubwa na nu wa hatari. Tupunguzieni ushabiki wa kijinga humu.
 
Hayo maneno kasema rais wako sio mimi na wala sikuwepo kwa hiyo unataka kutuambia kuwa Rais ni muongo na kaulimbiu yake msemakweli ni mpenzi wa Mungu.Mimi nimeleta kitu alichoongea mtafute mmalizane
 
wa kujiongeza ni wale wanaobisha, si lazima hao kina mama wote walale kwenye kitanda kimoja kwa wakati mmoja, watoto watano kwenye kitanda kimoja, kila mama anahudumia mtoto wake kwa wakati wake kwenye hicho kitanda kimoja, hapo ni sawa na kusema kitanda kimoja kina mama watano
 
Na wewe mleta Uzi jiongeze japo kidogo. Hicho kitanda cha kuwalaza wajwajawazito watano ni cha size gani? Kama ni hivi vilivyopo wodini havina uwezo huo. Na kumbuka wajawazito watano ni sawa na watu kumi plus. Hebu acheni kujadili vitu visivyowezekana na havina uhalisia. Kama walilazwa chini msiseme vitandani. Huu ni upotovu mkubwa na nu wa hatari. Tupunguzieni ushabiki wa kijinga humu.
kwa hiyo raisi ni muongo na hana akili,kambishie yeye
 
wa kujiongeza ni wale wanaobisha, si lazima hao kina mama wote walale kwenye kitanda kimoja kwa wakati mmoja, watoto watano kwenye kitanda kimoja, kila mama anahudumia mtoto wake kwa wakati wake kwenye hicho kitanda kimoja, hapo ni sawa na kusema kitanda kimoja kina mama watano

Hivyo mimi ndivyo nilivyoelewa. Huenda hata watoto wao hawalali pamoja, kina mama hao wawe wajawazito au wamejifungua wanachokifanya ni kupeana zamu kwamba leo wewe utalala kwenye kitanda, mimi nitalala kesho, huyu atalala kesho kutwa na huyu atalala siku inayofuata hivyo hivyo mpaka wote wanaisha. Hayo nd'o maisha ya mama zetu na dada zetu hapo Muhimbili.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Na wewe mleta Uzi jiongeze japo kidogo. Hicho kitanda cha kuwalaza wajwajawazito watano ni cha size gani? Kama ni hivi vilivyopo wodini havina uwezo huo. Na kumbuka wajawazito watano ni sawa na watu kumi plus. Hebu acheni kujadili vitu visivyowezekana na havina uhalisia. Kama walilazwa chini msiseme vitandani. Huu ni upotovu mkubwa na nu wa hatari. Tupunguzieni ushabiki wa kijinga humu.
Nadhani shida ipo kwenye tafsir ya kulazwa. Mi nijuavyo, kulazwa ni ile hali ya kutakiwa ubaki hospital kwa ajili ya uangalizi wa karibu.

Sasa kama ndivyo, inawezekana kabisa kitanda kimoja kuwa na akina mama watano maana hawalali bali hukaa na kusubir saa au siku ya kujifungua. Ukizidiwa unapelewa chumba cha kujifungulia.

Lkn ushihi ilikuwa kil mama na kitanda chake
 
Back
Top Bottom