Extension Cable shingapi iyo, Ni tronic au kampuni gani



sawa mwambaaExtension Cable shingapi iyo, Ni tronic au kampuni gani



sawa mwambaaEmbu lipige picha vizuri tulione, tukikubaliana namwagiza anayelitaka kwako aje kulichukua.Ongeza ongeza
HaviuzwiNiuzie hiyo pasi tafadhali, na chaja itapendeza!
Camera yangu imeishia hapo, aje tu ataliona vizuriEmbu lipige picha vizuri tulione, tukikubaliana namwagiza anayelitaka kwako aje kulichukua.
Watanunua hadi chaji ili usionekane JF hahaaHaiuzwi
Sio watu wazuri kabisaWatanunua hadi chaji ili usionekane JF hahaa

Subiri watakao kuuliza maswali ya kwanini unauza? HahaaaSio watu wazuri kabisa![]()
Nshauza sana, sihamagi na kituKitanda na matandiko
That's non of your business, jipunguzie majukumuUkishauza wewe utalala wapi

Tayar washafika, duniani tupo tofauti sana yaaniSubiri watakao kuuliza maswali ya kwanini unauza? Hahaaa

Nipigie namba hiyo haposofa mkuu , kula 50k chap
Nipigie namba hiyo hapo
LipoKabati bado lipo?
LipoKama sofa bado lipo sema tumalize biashara
Vipi kuna laki 110 hapa inafaa?Lipo