Kitanda cha wachumba

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41


Kitanda kwa ajili ya wachumba. mdada anlala juu men analala chini no kugegedana.
 
Shs n ngapi jamani? Mi nakitaka sana,,,
 
Nani kasema no kugegedana we!!!yani bluetooth zitajiwasha otomatic tu
 
Shs n ngapi jamani? Mi nakitaka sana,,,
 
Mateka asante sana kwa kunipa sample nzuri ya kitanda cha wanangu, nimefurahi sana najua nikipeleka kwa fundi wanguatanichongea hivyo hivyo.
leta vingine tuone.
 
Lazima mmoja atahamia tuuu
 
Patamu kwa kutaniani kana vile nitashuka/nitapanda na ukijibiwa njoo kama wewe mwanaume sikilizia kitakachofuata.....
 
hakuna kitu hapo kabla ya kulala watatafutana tena mkaka akiona paja au kifua ndo bac tena
 
Dah! hakinoa faida yoyote hiko kitanda.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…