KITANDA CHA MTOTO KINAUZWA

Dilas

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
87
Reaction score
69
Kitanda cha mtoto kinauzwa kwa bei ya shilingi 200,000. kina kabati lake kwa ajili ya vitu vidogo vidogo vya mtoto, kina droo chini ya kitanda, kina neti maalumu na godoro lake, kina uwezo wa kubembea ili kumbembeleza mtoto. kinafaa kwa mtoto wa siku moja mpaka mwaka mmoja.
 

Attachments

  • 92ba57889e2ebe563ebc0deb2828f8da68fd0036.jpg
    152.1 KB · Views: 171
  • 5095bc1206423a23b87769ad71e47089f82377d1.jpg
    126.1 KB · Views: 167
kwa atakayehitaji nicheck 0715585763.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…