Duuuh! pole sana mkuu kwakukumbwa na shida hiyo inayopelekea kuuza kitanda kizuri hivyo tena kilichotengenezwa kwa mbao nzuri na imara kabisa.Ngoja waje wadau wakutatulie shida yako kwakukinunua,ila nakushauri ukope tu hiyo pesa kuliko kukiuza hicho kitanda.