^^
wewe ndo unanifanya mpaka sijielewi,, kwa hilo tu pokea saluti my dear
^^
Himidini ni kweli uyasemayo nivyema kumtia moyo mpenzio muwapo 6*6 na si kumzodoa na endapo mwanamke akiona mume mambo hayawezi ni wakati wake sasa kuwajibika mpaka mume aseme 'mke si ndio huyu'
^^
Ha ha haa bestii eti kumzodoa!! Da,, yakianza ya Isa Mashauzi au Hadija Kopa,,nakuwa narudi alfajiri
^^
kumbe hata kama hawezi kuperform vema inatakiwa umwambie we ni kishoka kitandani wakati sio kweli,bora nimwambie ukweli na kumtia moyo kuliko kumpaka mafuta kwa mgongo wa kuchupa na kulea uvundo.
yeah..hapa inapendeza sana... Queen kan kafika...