Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,440
- 2,692
Umenifanya nichungulie chaga nione zilivyo bonye bonyeWatoto wangap wameundwa hapo?
Yaani jamaa bhaana! Nimejikuta nacheka tuWatoto wangap wameundwa hapo?
Yaani jamaa bhaana! Nimejikuta nacheka tu
Ha ha haa.. itakuwa co uzito, Bali shughuli y "uzalishaji"😎Dizain kama chaga zimetengeneza U curve. Inaonekana wewe ni kiumbe mzito sana. Una Kilo ngapi? Au mlikuwa mnalala wengi?
Ni kiwanda jamaa anauza...Umenifanya nichungulie chaga nione zilivyo bonye bonye