Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,476
- 2,798
Umenifanya nichungulie chaga nione zilivyo bonye bonye[emoji3][emoji3][emoji3]Watoto wangap wameundwa hapo?
Yaani jamaa bhaana! Nimejikuta nacheka tuWatoto wangap wameundwa hapo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani jamaa bhaana! Nimejikuta nacheka tu
Ha ha haa.. itakuwa co uzito, Bali shughuli y "uzalishaji"😎Dizain kama chaga zimetengeneza U curve. Inaonekana wewe ni kiumbe mzito sana. Una Kilo ngapi? Au mlikuwa mnalala wengi? 😀 😛
Ni kiwanda jamaa anauza...Umenifanya nichungulie chaga nione zilivyo bonye bonye[emoji3][emoji3][emoji3]