Mmmmh!Acha udhalilishaji kwani anakunywa na pesa zako!Tatizo la huyo jamaa analewa sana yaani wikiendi nzima yeye ni kulewa hadi anapoteza vitu.
Mbona unarukaruka kama Swala kaona SimbaMmmmh!Acha udhalilishaji kwani anakunywa na pesa zako!
Kwenda kule!Mbona unarukaruka kama Swala kaona Simba
Unataka leo tena twende kule? TANGULIA andaa mazingira kama juzi dume lije.Kwenda kule!
Mshenzi sana wewe mtu kitambulisho kimepotea wee unaleta mambo yako yakifala!Pumbafu kabisa!Unataka leo tena twende kule? TANGULIA andaa mazingira kama juzi dume lije.
Mbona Hasira Mkuu hata huku maisha ni magumu kama huko usidhani mimi ndiye nimekusababishia hiyo hali kikubwa vumilia, pia omba sana Mungu.Mshenzi sana wewe mtu kitambulisho kimepotea wee unaleta mambo yako yakifala!Pumbafu kabisa!
Kuchafuliana CV sio vizuri asee!.Zipo sababu nyingi zinaweza kusababisha kupoteza kitambulisho nk na si kweli kwamba kila mtu anapopoteza kitu kalewa!Mbona Hasira Mkuu hata huku maisha ni magumu kama huko usidhani mimi ndiye nimekusababishia hiyo hali kikubwa vumilia, pia omba sana Mungu.
kweli ndugu yangu.nashukuru kwa ushauri ulionipa, ila mm ni mtu safi sina tatizo na mtu kabisa.Jaribu kuwa makini
isijekuwa kuna tukio
nitafanya hivyo ndugu yangu. asante kwa ushauri.kipeleke kituo cha polisi maeneo hayo huenda na yeye aliripot utakuwa umemsaidia