Mhina Martin
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 204
- 261
Ni namba ndo inafungiwa kutumika katika huduma mbalimbali kama vile kusajili na kuhuisha namba ya simu.Unataka kutapeliwa kijinga sana, kitambulisho hakiwezi kufungiwa kwa sababu hauja kifuata, hell no!
Kabisa ndo nataka procedure za kuifungua Hyo namba na nipate kitambulisho kabisaNi namba ndo inafungiwa kutumika katika huduma mbalimbali kama vile kusajili na kuhuisha namba ya simu.
Unataka kutapeliwa kijinga sana, kitambulisho hakiwezi kufungiwa kwa sababu hauja kifuata, hell no!
Jamani acheni roho mbaya. Hamuwezi kutuzuia kunya. Kunya ni haki yetu it's universal fundamental human rights. Mbona nyinyi mnakunya? Acheni hizo. Kunya tutakunya tuuu.Jamii Forums ilikua ni mkombozi wa mambo yote. Lakini kwa sasa imegeuka kituko baada ya kuvamiwa na wajinga
Nusu hela mtu wangu njoo ujumuike Na sis wajinga huku. Nusuu heelaaa mtu wangu nakuita kwa sauti.Jamii Forums ilikua ni mkombozi wa mambo yote. Lakini kwa sasa imegeuka kituko baada ya kuvamiwa na wajinga