hahaha enzi za zidumu fikra za mwenyekiti,,Mwaka 77 wakati huku sisi tuna hangaika na chama wenzetu wanawaza kuishi huko du
ni kweli na hayo mengi yapo kwenye bongo zetuDunia yetu ina mengi
ha ha! ndio maana majamaa yametutangulia sana tu wkt sisi tunahangaika na njaa,vita,ukeketaji,umaskini n.k wenyewe wanawaza mbali mno they will continue to be number one!Mwaka 77 wakati huku sisi tuna hangaika na chama wenzetu wanawaza kuishi huko du
Hicho chombo hakiwezi kuangukia dunia kabisa kumbuka kimeshatoka kabisa katika solar yetu yenye sayari 8 au 9 ukiweka dwarf planet Pluto, Hicho kinatuvutwa katika Object nyingine na incase kime maintain speed kita orbit, Hio energy inayodaiwa kuwa itaisha 2025 ni Power kwa ajili ya kurun transponders Zinazowasiliana na Deep Space Network (DSN) Chombo still kitakuwa activeBaada ya uranium kwisha naamini hakitoweza kubaki tena huko kwa maana kitarudi chini...jee hakitoweza kuleta athari kwa binadamu? Au mwisho wake utakuwaje?
Nimekuelewa mkuu....Hicho chombo hakiwezi kuangukia dunia kabisa kumbuka kimeshatoka kabisa katika solar yetu yenye sayari 8 au 9 ukiweka dwarf planet Pluto, Hicho kinatuvutwa katika Object nyingine na incase kime maintain speed kita orbit, Hio energy inayodaiwa kuwa itaisha 2025 ni Power kwa ajili ya kurun transponders Zinazowasiliana na Deep Space Network (DSN) Chombo still kitakuwa active
ndo moja kwa moja hiyo.Kwahiyo kitarudi duniani mwaka gani? Au ndo kimeenda moja kwa moja? Halafu kimeleta taarifa gani tangu kimerushwa huko?
Hicho chombo hakiwezi kuangukia dunia kabisa kumbuka kimeshatoka kabisa katika solar yetu yenye sayari 8 au 9 ukiweka dwarf planet Pluto, Hicho kinatuvutwa katika Object nyingine na incase kime maintain speed kita orbit, Hio energy inayodaiwa kuwa itaisha 2025 ni Power kwa ajili ya kurun transponders Zinazowasiliana na Deep Space Network (DSN) Chombo still kitakuwa active
Ebanah eheeeehakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
hebu tueleze ukweli wako mkuuhakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
hebu tueleze ukweli wako mkuu
Wanazi huwa hamkosekani ha ha ha hah ha hahakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
Sasa hebu wewe tupe yako ambayo unahisi ndio sahihi sio propoganda!!!hakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy