Kitambo saaana!!

Kitambo saaana!!

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
18,549
Reaction score
21,676
376558_404478126255212_1887626160_n.jpg
Umewahi kutumia?
 
dah , ivi hii kitu naweza nkaipata wapi kwa sasa , nadhan hata watoto wa sasa waweza enjoy this mambo , nakupumbuka nlipigana na mdogo wangu , alizungusha raundi mbili kucheki wakati tulikubaliana round moja moja , kweli kitambo
 
daah hii mimi siisomi ni kitu gani.
 
Umenikumbusha mbali sana, nakumbuka kuna mzee mmoja alikuwa anapita mashuleni (shule za msingi), unalipia halafu unaangalia hayo mapicha.Kweli teknolojia inabadilika.
 
Aaah! Ww dogo sana huwezi jua hii kitu. Yaani imenikumbusha mwaka 1995 pale VINGUNGUTI ''A'' P/SCHOOL yaani kuangalia picha 5 sh 10/= wakati huo kwa pesa hiyo unapata supu ya mapupu kwa mama kapaya(rip my beloved grand ma)

Kipindi hicho pesa yetu ilikuwa na thamani sana.
 
Back
Top Bottom