Kitambi noma

Huyu sehemu zake zakutolea "mbolea" zitakua hazipo hivyo ananyea humo humo.
 
Mmmmh halafu kama mlinzi vile?au macho yangu
 
Hatari sana hii mzazi ndio maana siku hizi tuna kufa haraka
 
englibertm,​ Kitambi noma ni jina la klabu yetu ya mazoezi kule Zenji!
 
Kweli ni mmoja wa viongozi wa CCM na kama siyo Didas Ma------ ni yule mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, anaitwaaaaaa...Mgana Msindai.Yeba!!
 
aaah nimekumbuka! huyu ni Kibaso yule aliyewahi kuwa mbunge wa ma-CCM Temeke. ni ndugu yake Ma------, eee, ni yeye. Du! amejaliwa.
 
Kitambi kibaya sana,hapo njaa inamuuma kwa kwenda mbele;Jamani mwenye dawa ya kuondoa kitambi please anipm naona kinaninyemelea na kwa kweli sikipendi;nafikiria jinsi ya kuacha kunywa pombe na nyama choma cause a'm adicted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ