Ulitaka kujua ni ugonjwa au siyo ugonjwa Pima urefu wako , Pima na uzito , ingiza hizi data Google kwenye calculator ya body mass index ,, hii itakutolea majibu kama uzito ulionao ni sawa kwa uwiano wa urefu na umri au la ... Veeery simpleMtu anasema Ukiwa na Kitambi Ugonjwa...je wembamba?naomba jibu
Ulitaka kujua ni ugonjwa au siyo ugonjwa Pima urefu wako , Pima na uzito , ingiza hizi data Google kwenye calculator ya body mass index ,, hii itakutolea majibu kama uzito ulionao ni sawa kwa uwiano wa urefu na umri au la ... Veeery simple