Kitambi mwenzie pesa

Kitambi UGONJWA! Hakuna uhusiano wowote wa kitambi na pesa ni dhana POTOFU TU.
Mafuta yanayozunguka kiuno ni hatari sana katika kusafirisha damu, huweza kuganda na kusababidha uharibifu wa tissue za moyo atria filbration au stroke
 
Reactions: BAK
Sasa kutoa mfano wa mtu bila kumtaja jina si kumsema hakuna yoyote humu anayemjua hata jiji husika sikulitaja inaweza huwa Hong Kong, Manila au Nairobi.

Kwani nimesema umemtaja jina lake?
 
Ila now days stress sikwawanaume tu wadada pia ni pasua kichwa tumbo lina kuwa kwakasi kulko makalio kwalunga ya kisukuma choo kina tetema
 
Reactions: BAK
[emoji122][emoji122][emoji106]
Sasa kutoa mfano wa mtu bila kumtaja jina si kumsema hakuna yoyote humu anayemjua hata jiji husika sikulitaja inaweza huwa Hong Kong, Manila au Nairobi.
 
Hili la vitambi kwa warembo nalo limekuwa tatizo kubwa sana.

Ila now days stress sikwawanaume tu wadada pia ni pasua kichwa tumbo lina kuwa kwakasi kulko makalio kwalunga ya kisukuma choo kina tetema
 
Sasa kutoa mfano wa mtu bila kumtaja jina si kumsema hakuna yoyote humu anayemjua hata jiji husika sikulitaja inaweza huwa Hong Kong, Manila au Nairobi.
Why am I even here! 🖐 Bye ... See you at home
 
Reactions: BAK
Hili la vitambi kwa warembo nalo limekuwa tatizo kubwa sana.
Sana stress juu ya stress pasua tufe halibebeki mana mavyakula yamafuta wana yapenda sana na mazoez wa vivu
 
Reactions: BAK
My apologies if in one way or another
I wrote something something that you did not like. By the way thank you so much for what
you did at home. I really appreciate all your efforts ❤️🌹🤚🏾See you there.

Why am I even here! 🖐 Bye ... See you at home
 
My apologies if in one way or another
I wrote something something that you did not like. By the way thank you so much for what
you did at home. I really appreciate all your efforts ❤🌹🤚🏾See you there.
No worries Luv..Thank you
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…