Kitambi mwenzie pesa

steve_MOMO

Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
44
Reaction score
11
Nikwel ukiwa nakitambi lazima uwe na pesa au japo kagari kaku buluzikia et
 
Hahahahaha nilikuwa nakata mitaa ya jiji nikakutana na jamaa mmoja tunafahamiana kitambi kama mimba ya miezi tisa tukasalimiana maana tulikuwa hatujaonana kipindi kirefu. Akaniambia Mkuu kama ujuavyo hali ni mbaya sana kiuchumi pale nilipokuwa napiga mzigo sipo tena kampuni ilifungwa. Mwaka wa tatu huu niko kitaa nistue basi nikapate mlo. Jamaa mmoja poa sana nilishangaa kule kitambi anakihudumia vipi kama hana ajira.

Kitambi mwenzie ujinga kama unabisha nitajie mtu mmoja mwenye pesa na kitambi ambae sio mjinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23]angetoka 66 pat
 
Dah ndio umekuja kumsemea huku!
 
Kitambi mwezie private car..sio kutubana bana kwenye usafiri wa public

Kufakamia msosi bila mpangilio sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…