Kitamaliza tatizo

Kuna yale matatizo yakupigwa chini unavimba juu sasa vipimo vyake sometimes sio sahihi sana na hicho nasikia kinauwezo wakujua hadi nani alikupiga kama wengi walikupiga na hukumbuki yupi alikupiga sana mpk ukavimba.


Mmmh ni shidaaa!! Kwa iyoo kinaonyesha wapi uyo muhusika?
 
Kuna yale matatizo yakupigwa chini unavimba juu sasa vipimo vyake sometimes sio sahihi sana na hicho nasikia kinauwezo wakujua hadi nani alikupiga kama wengi walikupiga na hukumbuki yupi alikupiga sana mpk ukavimba.

nadhan ktakua na GPS ktrack down muhusika yuko wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…