Furaha yangu kubwa ni kuona UKAWA wataendesha halmashauri kadhaa za majiji na mikoa mikubwa kitu ambacho hakikuwepo. Kwa mfano mtwara mjini, Singida mashariki, Newala, Iringa na Tanga ukiachia Dar na Mbeya. Nilishuhudia kuongezeka kwa mapato ktk jiji la arusha na hakukuwa na michango ya maabara. Katika kipindi cha miaka 5 natarajia katika maeneo haya kutakuwa na mabadiliko makubwa kielimu na huduma mbalimbali ikiwemo afya na ardhi. Kwangu mimi haya ni mafanikio ya UKAWA. Waimarishe ushirikiano huu wasijagawe na wajipange kujiimarisha zaidi kimkakati kwa ajili ya 2020Ninaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu;
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
Gia ya angani ilibadilisha fikra za wengi, including me. Huwezi kuaminisha watu kwa miaka nane kuwa fulani ni mwizi wa kuchomwa moto, then miezi miwili kufikia uchaguzi unamchukua huyo mtu apeperushe bendera yako. Lazima wanaojitambua wataona unacheza na fikra zao na watakupiga chini.
Katika kuongea kwangu na watu, wengi hilo limewakatisha tamaa na hata kura walizigawa sana. Hilo ni kosa la Mbowe, kafanya mambo kwa interest zake binafsi bila kufikiria impact kwa wapiga kura wanaojielewa...

Mimi naamini kwa Singida watajifunza kutoka Singida Mashariki na watabadilika katika chaguzi ijayo baada ya kuona matunda ya wenzao yatakavyokuwaUkitaka kumtawala mtu kadri upendavyo mfanye maskini, mnyime pesa atakutumikia maisha yake yote, atakulamba miguu mda wote. Mikoa yenye umaskini wa kutupa uliosababishwa na ccm hawatakaa wabadilike kamwe na wataendelea kuwa maskini tu. Kama watu walikuwa wanamkataa lowasa basi hata madiwani tu wanashindwa, wabunge wa upinzani wanashindwa. Poor Njombe, Ruvuma, Rukwa, Katavi, Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Pwani,Singida mtaendelea kulaumu oo mikoa ya kaskazini inapendelewa tuu.
Gia ya angani ilibadilisha fikra za wengi, including me. Huwezi kuaminisha watu kwa miaka nane kuwa fulani ni mwizi wa kuchomwa moto, then miezi miwili kufikia uchaguzi unamchukua huyo mtu apeperushe bendera yako. Lazima wanaojitambua wataona unacheza na fikra zao na watakupiga chini.
Katika kuongea kwangu na watu, wengi hilo limewakatisha tamaa na hata kura walizigawa sana. Hilo ni kosa la Mbowe, kafanya mambo kwa interest zake binafsi bila kufikiria impact kwa wapiga kura wanaojielewa...
Furaha yangu kubwa ni kuona UKAWA wataendesha halmashauri kadhaa za majiji na mikoa mikubwa kitu ambacho hakikuwepo. Kwa mfano mtwara mjini, Singida mashariki, Newala, Iringa na Tanga ukiachia Dar na Mbeya. Nilishuhudia kuongezeka kwa mapato ktk jiji la arusha na hakukuwa na michango ya maabara. Katika kipindi cha miaka 5 natarajia katika maeneo haya kutakuwa na mabadiliko makubwa kielimu na huduma mbalimbali ikiwemo afya na ardhi. Kwangu mimi haya ni mafanikio ya UKAWA. Waimarishe ushirikiano huu wasijagawe na wajipange kujiimarisha zaidi kimkakati kwa ajili ya 2020
Ukitaka kumtawala mtu kadri upendavyo mfanye maskini, mnyime pesa atakutumikia maisha yake yote, atakulamba miguu mda wote. Mikoa yenye umaskini wa kutupa uliosababishwa na ccm hawatakaa wabadilike kamwe na wataendelea kuwa maskini tu. Kama watu walikuwa wanamkataa lowasa basi hata madiwani tu wanashindwa, wabunge wa upinzani wanashindwa. Poor Njombe, Ruvuma, Rukwa, Katavi, Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Pwani,Singida mtaendelea kulaumu oo mikoa ya kaskazini inapendelewa tuu.
Huu Muungano utapimwa kwa uwiano wa asilimia za Urais, Ubunge na Udiwani.Ninaamini kwa mwenye kufikiri sawasawa lazima atakubali kwamba katika Africa hakuna kama CCM kwasababu.
Kimsingi lengo la kuungana kwa vyama vya upinzani ilikua ni kutozitawanya kura ili muweze kushinda kirahisi.
Pamoja na kuungana kwenu lakini ushindi unaojitokeza haulingani kabisa na idadi ya vyama vyenu vilivyoungana.
Vijana wakileo husema"msuli tembo matokeo sisimizi"
Pamoja na kuungana kwenu lakini bado kuna majimbo mmeshindwa kabisa kuambulia hata diwani mmoja.
Na ukizama hata majimbo mengine mmeshinda kwa ushindi mwembamba sana mfano Temeke.
Ukitizama dira kwa jinsi matokeo yanavyoendelea kutoka utagundua bado CCM itashinda kwa zaidi ya 60% ushindi ambao hautopishana sana na ushindi ambao CCM ilijipatia 2010.
Kuna kila sababu yakusema kwamba Muungano wenu ume prove failure.
unapomkataa lowassa afu unamchagua chenge na mama tibaijuka akili yako ina walakiniLowassa kawaponza ,bora wangeingia vitani na manati yao,kuliko kuingia na SMG ya kuazima isiyo na risasi za kutosha
Huu Muungano utapimwa kwa uwiano wa asilimia za Urais, Ubunge na Udiwani.
We unaangalia kiti cha Urais tu, mbona husemi Udiwani na Ubunge? Unadhani kati ya viti walivyopoteza wapinzani na walivyovipata vipi vitakua vingi??
unapomkataa lowassa afu unamchagua chenge na mama tibaijuka akili yako ina walakini