Kitakachoikumba Dunia mwaka 2036

apophis asteroid iligunduliwa 2004 na ndio iyo habari ya iyo asteroid kuipiga dunia zilipozuka lakini kwa uchunguzi uliofanywa na torino impact hazard scale 2013 umegundua uwezekano wa apophis kuiangukia dunia na kuleta madhara ni asilimia 2.7 tu.
 
JF imevamiwa
Ubora wa zamani umepotea mkuu
 
jukumu la kulilinda anga na Dunia ni la MUNGU siyo Amerika acha kuabudu sayansi na Amerika.[/QUOTE]
 
Hivi lile dude walilosemaga mwaka Jana "Nibiru" kuwa lingeigonga Dunia watu tukaanza kuuza mali zetu tukijiandaa na kihama kumbe porojo tu kama zile za mwaka 2000
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na Mungu keshapanga siku hiyo ni mwisho wa dunia, msihofu ni mipango ya Mungu
 
Haya mambo ni mazuri kusoma tu kama kuelewa kinachoendelea ila kiukweli yanatisha sana
 
Duh

Hao kweli ni wapiga dili


hujakosea Bro,kusema hao ni wapiga ramli
 
Introduce fear to these motherfuckers and control them.....

Only fools will agree with this....
 
Introduce fear to these motherfuckers and control them.....

Only fools will agree with this....
Japo umetumia lugha Kali ila ulichoandika kina uzito si cha kubeza hawa watu weupe hawa wana ndimi mbili si wa kuamini asilimia zote muhimu changanya na zako.
 
kwa vile dubwana la NIBIRU lilipita, na hili litapata tu. waache kutuweka roho juu. stress za maisha yetu tu zinatosha.
 
Science nayo wakati mwingine haitofautiani na ramli za kwa waganga wa kienyeji!

Somo pekee la science ambalo lina radha yake ni Biology tu
Hasa topic ya reproduction!!!!
 
Maelezo yako yanashabihiana na TV series ya Salvation.
 
Si litadondoka kwenda chini yao, au sayari zimejipangaje huko angani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ