Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Hata Gadafi alijitapa! Bora commrade Mugabe aliyejifia kwa uzee huku US$ 1 = 5 million Z$
Mlisema hivi hivi 2003 wakati iraq inachapwa mara mstari mwekundu mara makombora matokeo yake yule mzee kajificha kwenye shimo nchini kwake.Hakuna taifa kwa sasa linaweza kupigana na USA.Jifariji tu
 
Kuandika Israel tu huwez, lazima habar zako unazisoma kwny gazeti la Cyprian Musiba
 
Huo ndo ukweli mkuu.Urusi na China wanasubiri tu Marekani ajichanganye ili watu watest makombora yao ya kisasa yasije kulipuka bila kutumika.Iran mwenyewe anawashwa Marekani ajichanganye ili atest makombora yake ya Nyuklia.
Natamani yale madude Bulava na Iskender yakapige White House pawe majivu pasibaki hata panya
 
Hao ma ayatollahs, na mullars watapata wana chokitafuta, na kile hawajui ni ya kuwa wayahudi (israel) wako na lama zote za kutumika kuwashambulia dakika yeyote, kweli mkuu yetu ni macho tu hapa
 
Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
pls kuwa na uelewa hata kaa sio wingi vile, je nani anawapa hela na silaha hao houths, mkuu kuwa mjaja angalau kiasi tu
 
Nani kakudanganya, marekani ni super power tuombe tu Mungu wasiipige Iran maana amani na utulivu wa eneo hilo vitapotea
U superpower wa Marekani umebaki kwenye makaratasi tu. Kama angekuwa mtu wa kupigana DT kipindi kile ki drone cha kilipotunguliwa hasingesema hawezi kuishambulia Iran kwa sababu angesababisha mauaji ya watu wengi.
 
Mkuu, jambo la MWISHO kabisa ambalo Trump anaweza kulifanya ni kuingia vitani na Iran.

Na uzuri Trump keshashtuka kuivamia Iran ni mtego (sawa na kukalia kuti kavu) unaweza kumfanya 2020 asirudi Whitehouse.

Ikumbukwe pia John Bolton alimpiga chini kutokana na mashinikizo yake ya mara kwa mara kutaka marekani iingie vitani, especially na Iran regime.

Hivyo RELAX mkuu, enjoy the show. There no war coming.
 
ishu ya iran wakubwa wakishapata uhakika ni yeye huyo mchina na Russia hutawaona wakimtetea ataachwa mkiwa then itabaki story, iran hawez kusimama na marekani, anachofanya marekani now ni kutafuta ushawishi na sababu ya kuivamia iran
Itategemea maslahi ya china na urusi, wasije kutengeneza vita ya dunia au kuendelea kuvuruga utulivu eneo zima la mashariki ya kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…