Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Ahahahahaha Iran akauki midomoni mwao
 
Huo ndo ukweli mkuu.Urusi na China wanasubiri tu Marekani ajichanganye ili watu watest makombora yao ya kisasa yasije kulipuka bila kutumika.Iran mwenyewe anawashwa Marekani ajichanganye ili atest makombora yake ya Nyuklia.
Usisahau Kiduku naye kila siku anasali Marekani ajichanganye pale ili wamfanye kama Zimbabwe ya Mugabe (R.I.P. Walahh Trump hawezi tia mguu Irani. Akienda tu hata Somalia wataingilia kati.
 
Isla
Islaeli ilijaribu kuwaua wanasayansi wa nuclear wa Iran bado jamaa wamefanikiwa kuimiliki technology.
 
Mohammed Bin Salman au MBS kachelewa alitakiwa aombe msaada kwa Myahudi leo tungekuwa twaongea lingine na wala hivyo vikwazo visingehitajika tena
 
Ira
Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
Iran backed Houthis....keyword “Iran”
 
Ukitaka kujua waajemi ni akina nani nenda kagogo.Hilo taifa sio la mchezo mchezo.Marekani haiwezi kuishambulia Irani kwa sababu Islaeli na saudia marafiki wa marekani zitawashwa moto na Irani kama ilivyowashwa Nagasaki. Hivyo vita hio haitakuja kutokea.Watu wanafananisha Iraki na Irani ya Leo.Iran imekua kiteknolojia sawa na mataifa kama Korea kusini,Singapore,Taiwani,Islaeli,hakuna wanavyoshindwa kuunda.Wanazile zinazoitwa ICB ambazo zinaweza kupeleka salamu marekani.Mrusi anasilaha anazotaka kuzijaribu hivyo hio vita itakuwa fursa,kuna lile dude linaitwa S400 marekani analiogopa konki.Mrusi alipotia mguu Syria hakuna cha islaeli wala Amerika wote wameingia chocho,hivyohivyo itakuwa kwa Irani hawezi ruhusu wapuuzi wajifamyie wanavyotaka.
 
Nimeona leo live Aljazeera na CNN......Saudi wameandaa press conference ya kama lisaa limoja wakionesha ushahidi kwamba Iran inahusika!
Katika vitu ambavyo madola ya kifalme ya kiarabu yanachoogopa ni Vita hiyo, Saudia hawawezi kuruhusu Hilo wanajua kuwa minyororo waliyowafunga wananchi wao kwa miaka mingi itakuwa ni mwisho.
 
Saudia amechoka sana, Jeshi limeshindwa kutaja hizo drone zimetengenezwa wapi, lini na zilirushwa kutoka umbali gani. USA kawa mbwa koko
 
Katika vitu ambavyo madola ya kifalme ya kiarabu yanachoogopa ni Vita hiyo, Saudia hawawezi kuruhusu Hilo wanajua kuwa minyororo waliyowafunga wananchi wao kwa miaka mingi itakuwa ni mwisho.
Fafanua kidogo mkuu.....
 
Iran si nyepesi kama Iraq.

Pia hakuna consensus kati ya USA na nchi za Ulaya kuishambulia Iran kama ilivyokuwa wakati wa Iraq maana Trump hasomeki kabisa.

Zaidi, Benjamin Netanyahu anaelekea kuutema uwaziri mkuu wa Israel. Huyu ni shabiki wa mkubwa wa kuiangamiza Iran.

Naamini vita sio option kwa sasa.
 
M
Mohammed Bin Salman au MBS kachelewa alitakiwa aombe msaada kwa Myahudi leo tungekuwa twaongea lingine na wala hivyo vikwazo visingehitajika tena
Myahudi anakitu gani ambacho Irani au Urusi hana? Wayahudi wanasumbuka sana na Iran,wanaua wanasayansi wa Irani lakini Irani emesonga.Huwa mnawakuza sana wayahudi hali nao huiba teknolojia marekani na ulaya.Teknolojia kubwa zote zimegunduliwa ulaya na marekani llkisha islae hukopi.Islaeli wangekuwa na akili sana kuliko mataifa mengine kwa nini teknolojia ya 5G isianzishwe na wao huko Islaeli na badala yake inazinduliwa na wachina.Mnasifia sana Islaeli hali Hamna mnachotumia kinachozalishwa Islaeli.Islaeli huiba teknolojia kama mataifa mengine yavyofanya,hawana ambacho wengine hawana.Wanapsmbana na halo yao kama wanavyopambana wajerumani nk. Waislaeli wangekuwa na teknolojia za kutisha Hitler asingewaua kama kumbikumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…