Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Mlisema hivi hivi 2003 wakati iraq inachapwa mara mstari mwekundu mara makombora matokeo yake yule mzee kajificha kwenye shimo nchini kwake.Hakuna taifa kwa sasa linaweza kupigana na USA.Jifariji tu
Ndugu yangu Iran ni taifa lenye uwezo mkubwa sana na ndio maana huyo marekani ana sita kwa sababu anajua madhara ya kuingia vitani na Iran.
Kwahiyo we we usijifanye una akili kuliko viongozi wa Marekani.
 
USA is superpower country with all kind of lethal weapons under the sun, you can't make comparison with Iran!
Chunga vita sio lelemama ni shughuli!
 
Jifarijini.Marekani ni mchumba tu kwa Iran sijui wewe upo Dunia gani.Au bado unaziamini propaganda za Mmarekani katika ulimwengu huu?
 
Iran na Syria waliwindwa sana tangu enzi za Bush.
Bush alitaka kupiga zote tatu.
 
ishu ya iran wakubwa wakishapata uhakika ni yeye huyo mchina na Russia hutawaona wakimtetea ataachwa mkiwa then itabaki story, iran hawez kusimama na marekani, anachofanya marekani now ni kutafuta ushawishi na sababu ya kuivamia iran
Hahaha kupata vichekesho kama hivi bofya *150*10*JamiiForums #
 
Wamguse waone..

Iran ana backup ya Urudi na China ambao ni bitter rivals wa marekani
Huo ndo ukweli mkuu.Urusi na China wanasubiri tu Marekani ajichanganye ili watu watest makombora yao ya kisasa yasije kulipuka bila kutumika.Iran mwenyewe anawashwa Marekani ajichanganye ili atest makombora yake ya Nyuklia.
 
ishu ya iran wakubwa wakishapata uhakika ni yeye huyo mchina na Russia hutawaona wakimtetea ataachwa mkiwa then itabaki story, iran hawez kusimama na marekani, anachofanya marekani now ni kutafuta ushawishi na sababu ya kuivamia iran
Ushawishi gani anaoutafuta?Si mnasema ni super power sasa anasubiri ushawishi gani wakati anaweza kuishambulia hata pasipo kibali cha UN.Ukweli ni kwamba Marekani kashikwa pabaya dunia ya leo sio ya jana.Marekani katetemeshwa na North Korea tu kaufyata hadi kataka mazungumzo na bwana mdogo Kim Jong Un.
 
Endelea kusikiliza propaganda za hao mabeberu wakidhani dunia bado ipo gizani.
 
Cha kumfurahisha raia wengi waIran wanatamani wamarekani waanzishe vita. Asilimia kubwa ya raia hususan vijana hawaipendi kabisa serikali na utawala wa Ayatollah. Kama vita itaanza serikali ya Ayatollah itapata mashambulizi hata kutoka kwa raia wake
 
Huo ndo ukweli mkuu.Urusi na China wanasubiri tu Marekani ajichanganye ili watu watest makombora yao ya kisasa yasije kulipuka bila kutumika.Iran mwenyewe anawashwa Marekani ajichanganye ili atest makombora yake ya Nyuklia.
Hakuna vita hapo trust me... Mmarekani hayuko tayari sasa hivi kuingia vitani hasa na hizi nchi za kiarabu...
 
Endelea kusikiliza propaganda za hao mabeberu wakidhani dunia bado ipo gizani.
kweli watanzania huwa hatusomi umekisoma kilichoandikwa au umejibu kwa hisia? mi si myahudi mweusi wala mwarabu wa tanzania sina upande ila ukisoma vizuri utaona kuwa taarifa zinamuongelea Iran ni za kupikwa au hazina uhakika au zina malengo mahususi jaribu kusoma huku ukilinganisha mwaka na taarifa ndo uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…