Kwa nini hauazimishi?"The Last Don" Ni hard copy ila siazimishi.
Ungesema kusoma kununua hata machinga wananunua ila kuvisoma sasa😉😉😉
Huko hapo....1. Kisiwe "cha shule".
2. Kisiwe kwa namna yoyote kinalazimika kununuliwa.
Mimi kitabu nikumbukacho kukinunua hivi karibuni ni Do It Scared. Nilikinunua kama ebook.
Kitabu ambacho karibuni ulikinunua ni kipi?
Bado sijakimaliza mkuu maana kipo kama biblia ila mpaka nilipofikia kinaelezea dunia ambayo kila mtu yuko busy kufanya lolote linalowezekana kumfanya awe tajir. Kuna sehem Don anamwambia mwanae ambaye ni fundi nguo kwa taaluma akasomee Biashara ili apate ujuvi wa kuiba hela bila kuvunja sheria.Kinahusu nini?
Ndo utaratibu wangu mkuu.Kwa nini hauazimishi?
Don Crelicuzio??Bado sijakimaliza mkuu maana kipo kama biblia ila mpaka nilipofikia kinaelezea dunia ambayo kila mtu yuko busy kufanya lolote linalowezekana kumfanya awe tajir. Kuna sehem Don anamwambia mwanae ambaye ni fundi nguo kwa taaluma akasomee Biashara ili apate ujuvi wa kuiba hela bila kuvunja sheria.
Ndani yake kuna mapenzi, tamaa, sacrifices na usaliti. Ni kama season 2 ya Godfather kwa namna flani maana hata muandishi ndo huyohuyo Mario Puzo.
Don Crelicuzio??
Hiki nacho kitamu sana kuna sehemu jamaa anasema "It makes no sense to worry about past events or mistakes unless you want to experience them for a second time."Robin sharmaView attachment 1225143