Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,734 May 10, 2015 #1 Hatimaye kitabu cha Profesa Chachage Seithy L. Chachage kuhusu 'Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania' kimetoka. Ni mkusanyiko wa makala na mada mbalimbali alizoziandika kwa lugha yetu ya Kiswahili. Kitabu kinapatikana Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe) kwa Tsh. 24,000. Tembelea mkahawani ujipatie nakala yako. Simu: 0673014071 Pepe: somabookcafe@yahoo.com Ramani: Soma Book Cafe | Burudani Utamaduni Maarifa
Hatimaye kitabu cha Profesa Chachage Seithy L. Chachage kuhusu 'Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania' kimetoka. Ni mkusanyiko wa makala na mada mbalimbali alizoziandika kwa lugha yetu ya Kiswahili. Kitabu kinapatikana Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe) kwa Tsh. 24,000. Tembelea mkahawani ujipatie nakala yako. Simu: 0673014071 Pepe: somabookcafe@yahoo.com Ramani: Soma Book Cafe | Burudani Utamaduni Maarifa