malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Pamoja na kwamba watu wengi wanatumia internet kwa kusoma vitabu na hadith mbalimbali maarufu licha ya hayo kitabu kinabaki kuwa kitabu. Sisi wote kwa namna moja au nyingine tunasoma vitabu mbalimbali na kutupa mazoea ya kupenda kusoma vitabu mbalimbali vya maarifa na vya hadithi. Wengine hata wamekuwa na hobby ya kukusanya vitabu mbalimbali kwa ajili ya kusoma. Lakini ni wangapi tunajua ya kwamba kitabu ninachosoma kinasomwa au kimesomwa na watu wangapi kati ya mamiliioni ya vitabu vinavyotungwa na kuchapishwa kila dakika? Hii ifuatayo ni orodha ya vitabu vinavyosomwa na watu wengi zaidi duniani..
10. ‘Think and Grow rich' by Napoleon Hill
Kitabu cha 10 katika kumi bora za kitabu kinachosomwa na watu wengi duniani ni ‘Think and Grow rich' kilichotungwa na Napoleon Hill, Kilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1937 na kimeendela kuuzwa kwa zaidi ya miaka 70 na mpaka sasa zaidi ya nakala million 30 kinasifiwa sana na na mtunzi na Mwalimu maarufu wa masuala ya uongozi duniani John C Maxwell.
9. ‘Gone with the Wind' by Margaret Mitchell
Kitabu hiki cha hadithi 'Gone with wind' novel hii iliyoandikwa na Margaret Mitchell mara ya kwanza iliyochapishwa mwaka 1936. Riwaya ya kimapenzi inayonyesha baadhi ya aina mbalimbali za mapendi na mahusiano kihistoria. Kitabu hiki kimeuzwa sana marekani na dunia nzima.Mpaka sasa kimeuza nakala milioni 33 .
8. ‘Twilight- the Saga' by Stephenie Meyer
Ni kitabu cha Vijana kinahusu mapenzi, kimetungwa na Stephanie Meyer. Ni mtunzi wa vitabu zaidi ya 5 maarufu duniani. Mara ya kwanza kilichapishwa 2005 na kuvunja rekodi, na kilishika namba 5 katika jarida maarufu la New York Times Bestseller katika mwezi huo huo kilipotoka, Na kiliuzwa na kuchapishwa tena 2008 na 2009. Kitabu hiki kimekwisha tafsiriwa katika zaidi ya lugha 37. Na mpaka sasa kimekwisha uza zaidi ya nakala million 43 na bado ni kitabu kinachopendwa sana.
Soma zaidi.......
Source : postgiver | Narrow the road that leads to life, and only a few find it.