Kitabu: Dr Slaa na Siasa za Tanzania -kiandikwe - | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu: Dr Slaa na Siasa za Tanzania -kiandikwe -

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tzjamani, Jan 23, 2011.

 1. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF,

  Sijui kama kimeshajadiliwa humu jamvini.

  Nina wazo ambalo ningependa wataalamu wa uandishi wa vitabu waweza kuchangamikia nalo ni kuandika kitabu cha Dr. Slaa na Siasa za Tanzania. Hii ni kutokana na mchango wake na changamoto mbali mbali anazozipata. ni kumbukumbu muhimu ili watu wapate historia na ukweli wa uzalendo wake kupigania uhuru wa pili wa TZ kutokana na ufisadi na maisha magumu.

  Maeneo muhimu kuzingatiwa ni

  1. Kutemwa kwake na CCM 1995 na kuchaguliwa na wana wa Karatu kuwa mbunge
  2. Mchango wake kuleta maendeleo Karatu na kuwa wilaya ya kuigwa TZ
  3. Vita ya Ufisadi - Kuanzisha vita ya ufisadi na kuisimamia bila kuyumba mpaka leo
  4. Kutoa Elimu ya Uraia kupitia kampeni yake ya Uraisi na Bungeni
  5. Uchaguzi 2010 na matokeo yake
  6. Vijana na waTZ wote tumejifunza na tunaendelea kuvifunza nini kutoka Dr Slaa?

  Naamini ni mambo mengi yataweza kuandikwa kwa ajili ya Uhuru wa pili wa TZ....haki na amani ya kweli.

  Nawakilisha.

  Mungu mbariki Dr Slaa
  Mungu ibariki CHADEMA
  Mungu ibariki Afrika na Dunia nzima
   
Loading...