Pata nakala yako ya kitabu cha Selina, kinachozungumzia habari za vyuo maisha ya kila siku wapitiayo wanafunzi.
Kwa bei ya shilingi elfu kumi, mtunzi wa kitabu hiki ni Myovela P, ni kitabu safi sana. Nimekisoma na nimepitia baadhi ya nakala za huyu bwana kabla ya hii, ni safi sana.