Mimi sio nesi wala mkunga ila ninadhani hiyo program unasoma imegawanywa kwenye courses mbali mbali ambazo kila kozi imeelezewa vizuri kwenye kitabu cha peke yake. Mfano kwenye Pharmacy kuna Pharmacology and Therapeutics, Pharnaceutics, Quality Assurance and Medicine Regulation, Industrial Pharmacy, Pharmacognosy etc na kila mojawapo ina vitabu vyake tena sio kimoja ni vingi
Angalia curriculum ya kozi then utajua ni vitabu gani unahitaji, uliza waliotangulia na walimu wako.
Sent using
Jamii Forums mobile app