Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli kimeingia rasmi Tanzania na kupokelewa kwa kishindo na wananchi, wasomi wengi wameonekana kuwa na kiu ya kutaka kujua ni namna gani akili ya hayati Magufuli ilivyokuwa inafanya kazi kwa haraka na kuwezesha kutekeleza miradi mikubwa sana ndani ya muda mfupi wa utawala wake.
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kina jumla ya kurasa 800 na tayari kimethibitika kupandikiza nuru ya uzalendo na uthubutu kwa mataifa yao kwa wale waliokisoma.
Kitabu hiki kinatazamiwa kutapakaa kote Tanzania, barani Afrika na duniani kote hasa kwa jamii inayojitambua.