hata hilo linaingia..
hata hilo linaingia..
Hata wapangwa kijiko wanaita spoon ingawa kipangwa cha ndani kabisa ambacho wengi hawajui kijiko ni lefani.Wanyakyusa kijiko wanaita spuni(Spoon)
Ball?Mpira
sawa neno lililozoeleka na linaonekana kama kiswahili, je mtaani hayo maneno ya talakirishi na kikokotozi yanatumikaKompyuta ni Talakirishi
Calculator ni Kikokotozi
Ssabuni sopWanyakyusa kijiko wanaita spuni(Spoon)
Komputa❎️Komputa..