Kiswahili hoyee

Kiswahili hoyee

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
1,561
Reaction score
1,319
Habari wanaJF,

Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa kufanya ni kuandika jina kwa lugha ya malkia na tafasiri yake kwa kiswahili lengo ni kuipa kipaumbele lugha yetu ya kiswahili. Karibuni

Mfano:

Decoder= king'amuzi/kisimbusi

Mouse= kipanya

Laptop=computa mpakato

Cable=kebo

Brouser=kisakuzi

Link=kiungo

thread=uzi

keyboard=kibonyezeo
 
Kikitumika kwa dhati na si kwa kuogopa kuongea kingereza kutokana na kutokukifahamu vyema, kitakua.
 
Na hapo ktk DECODER, neno KISIMBUSI Ndio sahihi. Neno KING'AMUZI lilianzishwa na jamaa wa DSTV DSM wakiwa wawo ndio wa kwanza kuleta mambo hayo. BAKITA walilikataa hili neno japo walimshukuru kwa mchango wao.
 
Ha ha nimefurahi hapo kwenye kibaobonyo...😀😀
 
Habari wanaJF,

Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa kufanya ni kuandika jina kwa lugha ya malkia na tafasiri yake kwa kiswahili lengo ni kuipa kipaumbele lugha yetu ya kiswahili. Karibuni

Mfano:

Decoder= king'amuzi/kisimbusi

Mouse= kipanya

Laptop=computa mpakato

Cable=kebo

Brouser=kisakuzi

Link=kiungo

thread=uzi

keyboard=kibonyezeo
Browser na sio brouser
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom