Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,978
Lugha huzaliwa,hukua huishi kisha hufaKwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno mazuri ya kiswahili yamepindishwa kiasi inaleta kichefuchefu hata kusikiliza. Hapa nitaweka baadhi ya maneno.
Alikuwa = alikua
Kwa hiyo = ko
Baadhi = baazi
kufanikiwa = kujipata
sasa = saivi
Ndio hivyo = ndoivo
Ndio nini = ndonini
serikali = serekali/selekale
yaani = yani
mtaa = kitaa/kitaani
kwa sababu = co
Pasipo kuchukuliwa hatua za makusudi lugha hii inaelekea kupotea.
Chanzo kikuu cha haya ni uholela wa vyombo vya habari hasa habari za mtandaoni.
Nashauri mambo makubwa mawili yafanyike kwa haraka.
Kuwe na takwa la lazima kwa waleta habari kwa jamii wote kuwa na ufaulu mzuri wa lugha hii
vyombo vya habari vyote yaani vya kawaida na mitandaoni lazima visajiliwe kwanza na mamlaka za kiserikali kabla ya kuanza kupeleka habari yoyote kwa jamii.
Tuungane pamoja kuinusuru tunu yetu kuu ya lugha ya kiswahili
Unategemea nini wakati Tanzania failures ndiyo wanaokuwa walimu.Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno mazuri ya kiswahili yamepindishwa kiasi inaleta kichefuchefu hata kusikiliza. Hapa nitaweka baadhi ya maneno.
Alikuwa = alikua
Kwa hiyo = ko
Baadhi = baazi
kufanikiwa = kujipata
sasa = saivi
Ndio hivyo = ndoivo
Ndio nini = ndonini
serikali = serekali/selekale
yaani = yani
mtaa = kitaa/kitaani
kwa sababu = co
Pasipo kuchukuliwa hatua za makusudi lugha hii inaelekea kupotea.
Chanzo kikuu cha haya ni uholela wa vyombo vya habari hasa habari za mtandaoni.
Nashauri mambo makubwa mawili yafanyike kwa haraka.
Kuwe na takwa la lazima kwa waleta habari kwa jamii wote kuwa na ufaulu mzuri wa lugha hii
vyombo vya habari vyote yaani vya kawaida na mitandaoni lazima visajiliwe kwanza na mamlaka za kiserikali kabla ya kuanza kupeleka habari yoyote kwa jamii.
Tuungane pamoja kuinusuru tunu yetu kuu ya lugha ya kiswahili
Sehemu kubwa ya elimu ya Tanzania, lugha ya kufundishia na kujifunzia ni English.Unategemea nini wakati Tanzania failures ndiyo wanaokuwa walimu.
inachosha sana kwa kweli2o8- tuonane
P1- pamoja
2100- Tumia
Inakera sana...halafu hiyo mbaka nikajua ni wachaga kwa sababu ya lafudhi yao...Na kuna wale wa,
mbaka - mpaka
halibeba - alibeba
apana - hapana
Bila kusahau wale wa kuchanganya l na r, th na s, dh na z,
Kiswahili sanifu kimepotea kabisa..!!
Kuna msichana wangu hapa nyumbani anaandika hivyo akikutumia msg..ninakasirika ila basi tuu nimeamua kumuacha...maana nimejuana nae ukubwani ngoja tuu anifanyie kazi zangu...Mwanamke anayeandika
axante = asante
tantee = asante
xawa = sawa
Na mengine ya aina hiyo aise huo upuuzi siwezi kuuvumilia, imenibidi na mini niwe mpuuzi kuandika hivyo ili niwaambie.
Na vilaza ndio wanakuwa viongozi wa nchi.Unategemea nini wakati Tanzania failures ndiyo wanaokuwa walimu.
Huwezi amini kuna watu ni wasomi kabisa na wengi wao hata siyo wachaga wanaandika hiyo 'mbaka', kuna maandishi unaandikiwa na msomi wa Kitanzania mpaka unakata tamaa..!!Inakera sana...halafu hiyo mbaka nikajua ni wachaga kwa sababu ya lafudhi yao...
Lugha inakuwa? kwa vipi kiongozi?Mkuu, hapo lugha inakua
Yah ni kweli..kuna mtu anaandika lugha ya kiswahili ambayo haieleweki mpaka unamvua vyeo..Huwezi amini kuna watu ni wasomi kabisa na wengi wao hata siyo wachaga wanaandika hiyo 'mbaka', kuna maandishi unaandikiwa na msomi wa Kitanzania mpaka unakata tamaa..!!