Kiswahili chetu kitakapo shamiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiswahili chetu kitakapo shamiri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, Jun 17, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hata uombaji wa nyimbo redioni utanoga:
  "Samahani ndugu mtangazaji naomba
  kuagiza nyimbo zifuatazo"
  1.Tumepata mapenzi(We found love)-
  Rehema(Rihanna)
  2.Duka la pipi(Candy shop)-Senti
  hamsini(50 Cent)
  3.Mnunuzi dirisha(window shopper)-
  Senti hamsini(50 Cent)
  4.Egemea nyuma(lean back)-Joe
  mnono(Fat joe)
  5.Pesa za kulepua(Money to blow)-
  Ndege mume(Birdman)
  6.Dunia ni mzunguko(World is a cycle)-
  Richie viungo(Richie spice)
  7.Fagia(Sweep)-ndovu mwanamume
  (Elephant man)
  8.Pinda mgongo(Bend over)-RDX
  9.Kando ya mto(Riverside)-Utamaduni
  (Culture)
  10.Dunda nami(bounce along)-Wayne
  ajabu(Wayne wonder)
   
 2. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  leather so soft-ngozi laini
  lips like sugar-lipsi kama sukari
  Carlifornia KING bed-mfalme wa kitanda wa carlifornia
  gimne dat-naomba hicho
  all of the lights(KANYE WEST)-taa zote(Kanye magharibi)
  babybaby(justin Bieber)-mtotomtoto(yustino biba)
  Knock you down-kudondoshwa chini
  heartless-kutokua na moyo
  paper loving-mpenda makaratasi
  game over-mchezo umeisha
  sasa shughuli ni zile nyimbo kama IFUNANYA,EGO,SPACEBOUND.EMPIRE STATE OF MIND
   
 3. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  aisee....unakutana na kitu YORI YORI!
   
 4. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nililie mto... cry me a river
   
 5. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  1.Mwanamke Imara - Alisia Ufunguo ~Super woman-Alicia Keys
  2.Vuta bangi - Ujazo Barafu ~
  Smoke some weed- Ice Cube
  3.Injili ya geto - (Gheto Gospel) - 2 Pac
  4.Kama mbinguni kuna Geto - (I wonder if heaven got a gheto) - 2 pac
  5.Mimi wa ukweli - Ja Tawala & J Lo - I'm real - Ja Rule & J Lo
  6.Ndoto - Mchezo - The Game - Dream
  7.Siwezi sema-Joe Mnene & J Likizo - Fat Joe&J Holiday-I cant tell
  8.Kama mvulana- like a boy-Ciara
  9.Kuibukia Juu-Wavulana wapotevu- Lost boyz-Rising to the top
  10.Maisha ya magharibi-Acha kucheza michezo na moyo wangu-Westlife-Quit playing games with my heart
  11.Nampenda mcheza uchi-T Maumivu - T Pain-In love wth a striper
  12.Nililie mto-Jastini Mbaoziwa-Justin Timberlake-Cry me a river
  13.Muda wa kuomba radhi umepita-Mbaoardhi-Timberland-Its too late to apologize
  14.Nitakuganda milele-Paka Wanasesere-Stick wth you-pussy cat dolls
  15.Pesa za Kiarabu-Mpasua mashairi-Buster Rhymes-Arab money
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ngozi ya kitimoto haiwambwi ngoma
   
Loading...