Maneno mengi tu lakini si habari mpasuko.
Habari mpasuko ni direct translation ya "breaking news" na katika Kiswahili maneno haya hayana mantiki.
Bora habari zinazokunjuka, habari zinza, habari tangiza, habari ziso halasa, habari hirimu, habari mlahaka, habari za kiada...
Hivi mbona maneno ya Kiswahili yapo mengi tu hayatumiki?