Kisutu: Wakurugenzi wa Rifaro wahukumiwa Jela miaka 7 kwa kuchezesha upatu. Wakiri makosa, walipa faini

Hawa nao ni washenzi sana,halafu ukiwaangalia vizuri watu wanao deal na hawa jamaa ni kama madishi yameyumba hivi! Yani kama akili zao zimeshikwa sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Walinidaka sehemu nikawapa nafasi ya kuwasikiliza;Aisee jamaa wanaongea tena kwa macho makali na sauti kali;Good morning! !Kila mdau anasifia kuwa na magari,nyumba na kuwa na ndoto za kumiliki mabilioni baada ya mwaka mmoja,
Jinsi vyuma vilivyokaza mtu akikutapeli hata elfu 5 tu unachanganyikiwa.
JAMANI serikali iwachunguze hawa watu itanusuru wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlishawahi kuwa member wa rifaro ila sijawahi ona ubaya wake ilikuwa ni network marketing business kama nyingine tu na bidhaa yao ilikuwa muda wa maongezi(airtime).....sielewi hapo kwenye biashara ya upatu labda kama ni nje na ile waliyokuwa wanaifanya ya rifaro
 
Back
Top Bottom