ila kwa nini ubadhirihu wa fedha za umma haukomi?!
kikundi cha watu wachahe ktk halmashauri kina fuja fedha za walipa kodi na viongozi wa wialaya na Mkoa mpo, mawaziri mpo, mnaibu waziri mpo! mnaacha mpaka Waziri Mkuu aje ndipo ubadhirifu unaibuliwa!!
jambo hili lonawakera sana watanzania, hivi kweli inawezekana waziri Mkuu akafila kila kona ya nchi?! kwa hiyo huko pengine asipo weza kufika ndio basi tena pesa za umma ziliwe?!
kwa nini lkn viongozi wetu?!
kwa nn?!