Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,399
- 2,040
Kuuchamo ni kufanyajHuku kwetu zinaotaga kwenye majaluba ya mpunga, ni vimiti fulan hivi vina mimba, unachukua huo mwiba unaochoma afu unauchamo
Kuuchamo ni kufanyajHuku kwetu zinaotaga kwenye majaluba ya mpunga, ni vimiti fulan hivi vina mimba, unachukua huo mwiba unaochoma afu unauchamo
Duu!Dawa yake ndogo sana.... Nilikuwa ninavyokwenye vidole, nilitafuta mavi ya kuku yaliokauka then nikahasaga yakawa unga...arafu nikafanya kama nataka nivinyofoe vile visunzua pale panapotoka damu..nikaweka ule unga wa mavi ya kuku