Yani kenya ukitoka nje ya slums sahau kabisa kukutana na kitu kibovu...Mweee!!... Ati nan anajengewa na serikali....huku watu wanajenga nyumba bora kwa gharama zao.....cheki kwenye hizo aerial photos utaziona...huko ninyi ndo mmekomaa na estates hadi mnaweka picha zake humu na si modern estates ka zetu... Huko kwenu wengi wana makazi duni.... Kiufupi mna hali mbaya kwa upande wa housing... Pambaneni mtoke huko...
Nyumba za matope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi hizo ziko kwa slums.View attachment 1305367
Unataka tulete za karibu kama hizi [emoji115]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watu walitafuta jina tu zuri (estate) kuficha aibu lakini uhalisia ni hostels broTena unasema hostels ni sawa na estates[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuchoka bro na hzo definitions zako walai
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizani kama ubongo wako unafunction barabara!!Nyumba za matope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi hizo ziko kwa slums.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwani sio kisumu 👇Yani kenya ukitoka nje ya slums sahau kabisa kukutana na kitu kibovu...
Ukwel mnaujua lkn kiburi tu, hku sio km hko kila mahali watu wanajenga ovyo tu...
Narudia tena, kenya ukishatoka nje ya slums tu utaona hay kupiga picha km mwenzenu ichoboy alivyofanya alipoenda kisumu na nairobi..aliogopa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hebu leta picha zake....Nyumba za matope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi hizo ziko kwa slums.
Sent using Jamii Forums mobile app
Twanga photoo....Yani kenya ukitoka nje ya slums sahau kabisa kukutana na kitu kibovu...
Ukwel mnaujua lkn kiburi tu, hku sio km hko kila mahali watu wanajenga ovyo tu...
Narudia tena, kenya ukishatoka nje ya slums tu utaona hay kupiga picha km mwenzenu ichoboy alivyofanya alipoenda kisumu na nairobi..aliogopa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta picha tukuwekee saizi yako....Hakuna hata moja mliyoleta inafikia RIAT au MILIMANI...bado sana nynyi katika hyo sekta
Sent using Jamii Forums mobile app
And it's not Nyalenda SlumHapa kwani sio kisumu 👇View attachment 1305431
Asante kwa kuwa muungwana...inapobidi kupongeza unapongezaNdio...angalau hapo nitasema kidogo watu wanajitutumua kujenga vizuri hta km sio mansions lkn wako kwao na hakuna anayewatatiza kuhusu kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
This is Kanyakwar estate, Kisumu. Linganisha na hizo nyumba za ng'ombe zenyu.Hahaha hebu leta picha zake....
Sizani kama ubongo wako unafunction barabara!!
Leta nyumba za watu binafsi ww.... Kwan yy kakuletea estates..This is Kanyakwar estate, Kisumu. Linganisha na hizo nyumba za ng'ombe zenyu.View attachment 1305452
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta nyumba za wqtu binafsi ww.... Kwan yy kakuletea estates..
Hizo nyumba ni za mashirika....halafu ww ukatuitia hizi nyumba zetu za huku tulizojenga slums...leta hizo zenu ambazo sio slums....sababu hata ss za mashirika tushaweka humu...Kwani hizo ni nyumba za mungu? I can see umeanza kuhara ukishalemewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashirika gani? Ebu zitaje. Ukitaja nahama JfHizo nyumba ni za mashirika....halafu ww ukatuitia hizi nyumba zetu za huku tulizojenga slums...leta hizo zenu ambazo sio slums....sababu hata ss za mashirika tushaweka humu...
Kumbe estates zinajengwa na individuals na si organizations...
Kumbe estates zinajengwa na individuals na si organizations...
Haha duh hebu define estate